Thursday, April 28, 2016

UANACHAMA WA UWAWASE GROUP

UANACHAMA WA UWAWASE GROUP

1.0  WANACHAMA
a.       Wale wote waliojiandikisha mara ya kwanza kwa msajili.
b.      Wale wote watakao kidhi vigezo vya maombi ya kujiunga na umoja huu.
c.       Awe ni raia wa Tanzania.

3.1SIFA ZA MWANACHAMA
Ili uwe mwaanachama unatakiwa uwe na sifa zifuatazo:-
a.       Uwe na umri usiopungua miaka 18.
b.      Mwenye akili timamuna afya njema.
c.       Awe mfanyabiashara wakuzalisha sembe/donaau kumiliki mashine ya kuzalisha sembe/dona Dar es Salaam.
d.      Awe mkweli na mwaminifu katika shughuli zake.
e.       Awe amelipa kiingilio,ada ya kila mwezi, amenunua katiba na anachangia michango inayomhusu kikatiba.

3.2     TARATIBU ZA KUJIUNGA NA UMOJA HUU
1.      Maombi ya wanachama wapya yatafanywa kwa maandishi kwa uongozi wa Uwawase.
2.      Maombi yatajibiwa na Uongozi ndani ya siku 14.
3.      Mwanachama atalipa kiingilio kilichopo kwa wakati husika, Ada ya kila mwezi kuanzia Chama kianzishwe na anunue nakala ya katiba.
4.      Mwanachama anapaswa kumiliki kati ya hisa 5 na 10 zenye thamani ya shilingi 5,000/= (shilingi elfu tano tu) anazotakiwa azitumie ndani ya miezi kumi na mbili (12) tangu ajiunge.
5.      Kila wanaumoja atachangia ada ya umoja sh 10,000/= kila mwezi bila ya kukosa
6.      Awe tayari kushiriki kwenye shughuli za uzalishaji mali zinazofanywa.

3.3.1HAKI ZA MWANAUMOJA
Mwanaumoja atakuwa anaulazima wa mambo yafuatazo:
a.       Kulipa kiingilio,ada, michango ya msiba au mingine kwamujibu wa utaratibu tuliojiwekea.
b.      Kutekeleza majukumu yake kwamuda uliopangwa.
c.       Kuheshumu taasisi mbalimbali ambazo umoja umeamuwa kufanya nazo kazi kwa maslai ya umoja.
d.      Kushiriki kikamilifu katika shughuli za umoja ili kuufanya umoja wetu kusonga mbele.
e.       Kutoa taarifa kwenye umoja iwapo umegundua kuna kiongozi yeyote anatoa huduma kwa upendeleo ndani ya umoja,au ana fanya kitendo cha kuudhoofisha umoja wetu.
f.       Mwanaumoja anapaswa kuhudhuriamikutano mikuu yote bila kukosa kwamujibu wa utaratibu tuliojiwekea.
g.      Kujielimisha ili kupata kuzifahamu vyema sheria na kanuni zihusuzo umoja wetu.
h.      Kuyashika na kuyatekeleza mashart yote ya umoja wetu kwa umakini.

3.3.2 HAKI ZA MWANAUMOJA
1.      Kushiriki kwa pamoja shughuli zote za umoja pale inapobidi kufanya hivyo.
2.      Kutoa maoni na kuchangia mawazo wakati wa mkutano mkuu.
3.      Kukubali kuchaguliwa au kuchagua pindi uchaguzi unapotaka kufanyika.
4.      Mwanaumoja anahaki ya kupata taarifa ya kila baada ya miezi mitatu juu ya maendeleo ya umoja wetu kwenye mkutano mkuu.
5.      Mwana umoja anahaki ya kuhoji/ kupitia nyaraka zozote zihusuzo umoja wetu inapobidi kufanya hivyo ofisini.
6.      Wana umoja wanahaki ya kuitisha mkutano mkuu maalum, pale patakapo lazimika kufanya hivyo kwa maslai ya umoja wetu.

3.4.1KUSIMAMISHWA UANACHAMA.
Sababu zitakazo kupelekea kukoma ndani ya umoja ni kama ifuatavyo:-
a.       Kufariki.
b.      Kama ukikosa sifa za kuendelea kuwa mwanaumoja. Ukiwa mwizi na mlaghai kwa wana umoja wenzako.
c.       Kukosa nidhamu kiasi cha kuleta kuvunja amani ndani ya umoja wetu.
d.      Kuandika barua ya kujiuzulu mwenyewe kwa hiyari.
e.       Kufungwa jela kwa muda usiopungua miezi sita.
f.       Kufukuzwa kwenye umoja na wajumbe wa mkutano mkuu kwa kupigiwa kura  itakayozidi nusu ya mahudhulio ya siku hiyo, baadaya ya kupewa nafasi ya kujitetea kwenye mkutano huo.
g.      Kushikwa na ugonjwa wa afya ya akili.

3.4.2 KUJIUNGA TENA NA UMOJA.
Mwanaumoja alieacha kwa hiyari yake mwenyewe anaweza kujiunga tena kwa kufuata taratibu zakuingia kama awali.

3.5MSIMAMIZI WA MWANAUMOJA.
1.      Mwanaumoja atakuwa na nafasi ya kumchagua mtu ambae baada ya kufariki kwake ataweza kupokea  rambirambi za marehemu na haki zingine stahiki.
2.      Mwanaumoja anayo haki ya kubadilisha jina la mtu alie mchagua awali kwa kumpokelea rambirambi zake na mabadiliko hayo yatawekwa kwenye daftali la mwana umoja.

3.6 HUDUMA ATAKAZOPATIWA MWANA UMOJA NA UMOJA.
1.      Mwana umoja atakapo kuwa mgonjwa kwa muda mrefu na ikamlazimu awe hospitali kwa muda wa miezi mitatu akiwa katika matibabu, umoja utamchagia huduma ya matibabu kwa kumpatia shilingi 200,000/= hizo hatadaiwa.
2.      Mwanaumoja ikitokea amefiwa na mtu wake wakaribu yaanimtoto,mke au mume,baba au mama. Wanaumoja watawajibika kumchangia mwanaumoja huyo kwa kutoa kila kichwa shilingi 5,000/=. Nje ya mfuko wa umoja.
3.      Mwanaumoja ikitokea bahati mbaya amefariki dunia yeye mwenyewe, italazimika kila mwana umoja achangie shilingi 10,000/= mbali na mfuko wa umoja.

4.      Baada ya taarifa za msiba wa mwana umoja kutokea, na ikilazimika kutoa msaada wa haraka kwa wafiwa wa mwana umoja, umoja utatoa shilingi 500,000/= kwenye mfuko na baada ya kukusanya pesa za msiba huo zitarudishwa pesa hizo kwenye mfuko, na salio watakabidhiwa wafiwa hasa alieteuliwa na marehemu kama mdhamini/msimamizi.1.0  WANACHAMA

4.      Baada ya taarifa za msiba wa mwana umoja kutokea, na ikilazimika kutoa msaada wa haraka kwa wafiwa wa mwana umoja, umoja utatoa shilingi 500,000/= kwenye mfuko na baada ya kukusanya pesa za msiba huo zitarudishwa pesa hizo kwenye mfuko, na salio watakabidhiwa wafiwa hasa alieteuliwa na marehemu kama mdhamini/msimamizi.
Share: