ANUANI ZA UWAWASE GROUP
a. Jina
la umoja litakuwa:Umoja waWamiliki na Wazalishaji
Sembe/Dona(UWAWASE GROUP).
b. Anuani
ya umoja:S.L.P 10239Dar es salaam.
c. Tarehe
ya kuandikishwa: 11/03/2014
d. Namba
ya kuandikishwa Brela: 280324
f. Idadi
ya wanaumoja waliotuma maombi:228
g. Eneo
la shughuli za umoja: Manzese/Tandale Kinondoni
Dar es Salaam.
h. Makao
makuu ya umoja yatakuwa: Manzese Wilaya ya
Kinondoni.
i.
Wahusika wakuu wa umoja huo ni: wamiliki wa mashine za kuzalishaSembe/Dona
na wazalishaji Sembe/Dona wa mkoa wa Dar es Salaam.







0 comments:
Post a Comment