UANACHAMA WA UWAWASE GROUP
1.0 WANACHAMA
a. Wale
wote waliojiandikisha mara ya kwanza kwa msajili.
b. Wale
wote watakao kidhi vigezo vya maombi ya kujiunga na umoja huu.
c. Awe
ni raia wa Tanzania.
3.1SIFA
ZA MWANACHAMA
Ili
uwe mwaanachama unatakiwa uwe na sifa zifuatazo:-
a. Uwe
na umri usiopungua miaka 18.
b. Mwenye
akili timamuna afya njema.
c. Awe
mfanyabiashara wakuzalisha sembe/donaau kumiliki mashine ya kuzalisha
sembe/dona Dar es Salaam.
d. Awe
mkweli na mwaminifu katika shughuli zake.
e. Awe
amelipa kiingilio,ada ya kila mwezi, amenunua katiba na anachangia michango inayomhusu
kikatiba.
3.2 TARATIBU
ZA KUJIUNGA NA UMOJA HUU
1. Maombi
ya wanachama wapya yatafanywa kwa maandishi kwa uongozi wa Uwawase.
2. Maombi
yatajibiwa na Uongozi ndani ya siku 14.
3. Mwanachama
atalipa kiingilio kilichopo kwa wakati husika, Ada ya kila mwezi kuanzia Chama
kianzishwe na anunue nakala ya katiba.
4. Mwanachama
anapaswa kumiliki kati ya hisa 5 na 10 zenye thamani ya shilingi 5,000/=
(shilingi elfu tano tu) anazotakiwa azitumie ndani ya miezi kumi na mbili (12)
tangu ajiunge.
5. Kila
wanaumoja atachangia ada ya umoja sh 10,000/= kila mwezi bila ya kukosa
6. Awe
tayari kushiriki kwenye shughuli za uzalishaji mali zinazofanywa.
3.3.1HAKI
ZA MWANAUMOJA
Mwanaumoja
atakuwa anaulazima wa mambo yafuatazo:
a. Kulipa
kiingilio,ada, michango ya msiba au mingine kwamujibu wa utaratibu
tuliojiwekea.
b. Kutekeleza
majukumu yake kwamuda uliopangwa.
c. Kuheshumu
taasisi mbalimbali ambazo umoja umeamuwa kufanya nazo kazi kwa maslai ya umoja.
d. Kushiriki
kikamilifu katika shughuli za umoja ili kuufanya umoja wetu kusonga mbele.
e. Kutoa
taarifa kwenye umoja iwapo umegundua kuna kiongozi yeyote anatoa huduma kwa
upendeleo ndani ya umoja,au ana fanya kitendo cha kuudhoofisha umoja wetu.
f. Mwanaumoja
anapaswa kuhudhuriamikutano mikuu yote bila kukosa kwamujibu wa utaratibu
tuliojiwekea.
g. Kujielimisha
ili kupata kuzifahamu vyema sheria na kanuni zihusuzo umoja wetu.
h. Kuyashika
na kuyatekeleza mashart yote ya umoja wetu kwa umakini.
3.3.2
HAKI ZA MWANAUMOJA
1. Kushiriki
kwa pamoja shughuli zote za umoja pale inapobidi kufanya hivyo.
2. Kutoa
maoni na kuchangia mawazo wakati wa mkutano mkuu.
3. Kukubali
kuchaguliwa au kuchagua pindi uchaguzi unapotaka kufanyika.
4. Mwanaumoja
anahaki ya kupata taarifa ya kila baada ya miezi mitatu juu ya maendeleo ya
umoja wetu kwenye mkutano mkuu.
5. Mwana
umoja anahaki ya kuhoji/ kupitia nyaraka zozote zihusuzo umoja wetu inapobidi
kufanya hivyo ofisini.
6. Wana
umoja wanahaki ya kuitisha mkutano mkuu maalum, pale patakapo lazimika kufanya
hivyo kwa maslai ya umoja wetu.
3.4.1KUSIMAMISHWA
UANACHAMA.
Sababu
zitakazo kupelekea kukoma ndani ya umoja ni kama ifuatavyo:-
a. Kufariki.
b. Kama
ukikosa sifa za kuendelea kuwa mwanaumoja. Ukiwa mwizi na mlaghai kwa wana
umoja wenzako.
c. Kukosa
nidhamu kiasi cha kuleta kuvunja amani ndani ya umoja wetu.
d. Kuandika
barua ya kujiuzulu mwenyewe kwa hiyari.
e. Kufungwa
jela kwa muda usiopungua miezi sita.
f. Kufukuzwa
kwenye umoja na wajumbe wa mkutano mkuu kwa kupigiwa kura itakayozidi nusu ya mahudhulio ya siku hiyo,
baadaya ya kupewa nafasi ya kujitetea kwenye mkutano huo.
g. Kushikwa
na ugonjwa wa afya ya akili.
3.4.2
KUJIUNGA TENA NA UMOJA.
Mwanaumoja
alieacha kwa hiyari yake mwenyewe anaweza kujiunga tena kwa kufuata taratibu
zakuingia kama awali.
3.5MSIMAMIZI
WA MWANAUMOJA.
1. Mwanaumoja
atakuwa na nafasi ya kumchagua mtu ambae baada ya kufariki kwake ataweza
kupokea rambirambi za marehemu na haki
zingine stahiki.
2. Mwanaumoja
anayo haki ya kubadilisha jina la mtu alie mchagua awali kwa kumpokelea
rambirambi zake na mabadiliko hayo yatawekwa kwenye daftali la mwana umoja.
3.6
HUDUMA ATAKAZOPATIWA MWANA UMOJA NA UMOJA.
1. Mwana
umoja atakapo kuwa mgonjwa kwa muda mrefu na ikamlazimu awe hospitali kwa muda wa
miezi mitatu akiwa katika matibabu, umoja utamchagia huduma ya matibabu kwa
kumpatia shilingi 200,000/= hizo hatadaiwa.
2. Mwanaumoja
ikitokea amefiwa na mtu wake wakaribu yaanimtoto,mke au mume,baba au mama.
Wanaumoja watawajibika kumchangia mwanaumoja huyo kwa kutoa kila kichwa
shilingi 5,000/=. Nje ya mfuko wa umoja.
3. Mwanaumoja
ikitokea bahati mbaya amefariki dunia yeye mwenyewe, italazimika kila mwana
umoja achangie shilingi 10,000/= mbali na mfuko wa umoja.
4. Baada
ya taarifa za msiba wa mwana umoja kutokea, na ikilazimika kutoa msaada wa
haraka kwa wafiwa wa mwana umoja, umoja utatoa shilingi 500,000/= kwenye mfuko
na baada ya kukusanya pesa za msiba huo zitarudishwa pesa hizo kwenye mfuko, na
salio watakabidhiwa wafiwa hasa alieteuliwa na marehemu kama mdhamini/msimamizi. 1.0 WANACHAMA

salio watakabidhiwa wafiwa hasa alieteuliwa na marehemu kama mdhamini/msimamizi.

0 comments:
Post a Comment